MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kila ligi inasheria zake za kupata mshindi, kwa ligi ya England endapo timu zote zitafanana point huwa wanafuata vitu vifuatavyoJamani ligi kuu uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna uwezekano pia goli differ. ikawa sawa kabisa.Na jinsi ninavyoona head to head ya timu hizo mbili ikafanana na factors nyingine pia.
Swali langu ni je nini ufanyika inapotokea hali hiyo?ligi urudiwa?kombe hugawanwa?au busara gani utumika?
karibuni kwa mchango povu linaruhusiwa
haha aaahhh haah
ikiwa sawa na yenyewe?Wanaangalia head to head kati yao
vp zikiwa sawa?Kila ligi inasheria zake za kupata mshindi, kwa ligi ya England endapo timu zote zitafanana point huwa wanafuata vitu vifuatavyo
1. Goal difference
2. Head to head
3.Goal za kufunga
4. Goal za kufungwa
Endapo vipengele vyote hapo juu mshindi ajapatikana wanarusha shilingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watafanya ule mchezo wa kuimba ANA ANA ANA DO....vp zikiwa sawa?
kwamba watalingana hata kadi nyekundu, njano, onyo...acha basi. Eti wapewe mechi moja pale Wembley bado walingane. We jamaa kuna kitu unataka kijibiwe na watu wasiojulikana.vp zikiwa sawa?
Leo wametoa droo hawa jamaa hpo anajaribu kututoa kwenye mstari tu hana cha nn wala nn wangeshinda ungeona maneno yke hmu ndani!kwamba watalingana hata kadi nyekundu, njano, onyo...acha basi. Eti wapewe mechi moja pale Wembley bado walingane. We jamaa kuna kitu unataka kijibiwe na watu wasiojulikana.
mkuu ka weed ulikotumia umebakiza?Ikishindikana kabisa makocha wanapigana hadi mmoja amuombe mwenzie yaishe
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ya kurusha shilingi ni kweli??Kila ligi inasheria zake za kupata mshindi, kwa ligi ya England endapo timu zote zitafanana point huwa wanafuata vitu vifuatavyo
1. Goal difference
2. Head to head
3.Goal za kufunga
4. Goal za kufungwa
Endapo vipengele vyote hapo juu mshindi ajapatikana wanarusha shilingi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umeua mkuukwamba watalingana hata kadi nyekundu, njano, onyo...acha basi. Eti wapewe mechi moja pale Wembley bado walingane. We jamaa kuna kitu unataka kijibiwe na watu wasiojulikana.
If two or more teams end up with same points in points table, then team having more Goal Difference i.e., Goals Scored minus Goals Against, wins the title.Jamani ligi kuu uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna uwezekano pia goli differ. ikawa sawa kabisa.Na jinsi ninavyoona head to head ya timu hizo mbili ikafanana na factors nyingine pia.
Swali langu ni je nini ufanyika inapotokea hali hiyo?ligi urudiwa?kombe hugawanwa?au busara gani utumika?
karibuni kwa mchango povu linaruhusiwa
thnx mkuuIf two or more teams end up with same points in points table, then team having more Goal Difference i.e., Goals Scored minus Goals Against, wins the title.
if Goal Differences are also same for those teams, then team having more Goals Scored would win the title.
And if Goals Scored are also same for those teams, then all those teams on top having same points, same goal differences and goals scored would compete in a playoff match at a neutral ground.
Reference: English Premier League Wikipedia
History:
1. 2011-12 EPL, Manchester City and Manchester United: Manchester City won the title by having +8 goal difference.
2. 1988-89 EPL, Arsenal and Liverpool: Arsenal won the league championship on goals-scored, after finishing level on points and goal-difference with Liverpool.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa bhanaIkishindikana kabisa makocha wanapigana hadi mmoja amuombe mwenzie yaishe
Sent using Jamii Forums mobile app