Nini hutokea na kupelekea risasi kupungua madhara kutokana na umbali?

Bernoulli's
Vipi kwenye risasi Bernoulli principle inahusika pia?
NDIO MKUU
Bernoulli principle inahusika sehemu kubwa sana ktk sehemu tatu ili risasi itembee ambazo ni
1. Pressure energy ( P/pg)
2.kinetic energy (V²/2g)
3.potential energy (z)
Ukisoma application za differential equation, utamkta akielezea motion kinaga ubaga, Bernoulli utamkta pia kwa mambo ya motion za vitu mbali mbali pia.
Ukisoma Hydraulic/ fluid mechanics utamkta pia.
Ni sehemu nyingi sana utaktana na Bernoulli mkuu zinazo husisha pressure na mwendo.
kumbuka kua Bernoulli aliweza kuform equation yake kutokea kwa Newton's second law of motion
"the net force Fx acting in an object in the direction of x is equal to the mass m of the object multiplied by the acceleration ax
Mathematically Fx = m.ax
Hivyo basi risasi ikiwa inatembea, nguvu yake inategemea kani ya msukumo/mgandamizo (pressure force) iliyo Sababishwa na baruti ndani ya bunduki.
madhala ya huo mgandamizo ni mlipuko na sauti mkuu.
Hivyo Bernoulli principle anahusika kabsa
Na equation yake ni kama ifuatavyo
(P/pg) plus (V²/2g) plus (Z) = constant
Where
P/pg = pressure energy per unity weight
V²/2g = kinetic energy per unity weight
Z = potential energy per unity weight
Equation ina mfuatano wa watu wafuatao
Newton's second equation of motion, Reynold's equation of motion, Navier-stokes Equation, Euler's equation of motion, na badae Ndo Bernoulli's principle.
 
kifupi ni loss of energy in form of heat na effect ya air resistance kutegemeana na angle ya projection.
 
Mkuu kwa heshima zote naomba nikuambie haya maelezo yote hujatoa jibu sahihi la kifizikia ambalo kuna mdau hapo juu ameshajibu kwa maneno machache sana. Labda nijaribu kurudia majibu yake kwa kiswahili:-
Nguvu ya mvuto kuelekea uso wa dunia (gavitational pull) na mkingamo wa hewa unapunguza nishati mwendo (kinetic energy) ambayo ndio husababisha kupungua kwa madhara ya msukumo au mgongano unaoleta madhara makubwa kwa kitu kinachopigwa. Nikichanganya kiswangilish ni kwamba Gravitation force and air friction reduces kinetic energy of the bullet therefore it reduces the momentum and the impact force. Naruhusu kukosolewa wadau maana haya mambo tuliachana nayo miaka mingi sana na kama ujuavyo wabongo hatutumii sana elimu au maarifa tuliyopata shuleni.

Nyongeza ya maelezo:
Kwa kumalizia hapa ni kwamba Distance au umbali wa risasi kusafiri unapoongezeka ndivyo inakuwa imetembea sehemu kubwa yenye mkingamo wa msuguano wa hewa na muda uliotumia unakuwa mkubwa hivyo velocity inapungua (Velocity=Distance/Time). Kumbuka Momentum=Mass x Velocity kwa hivyo velocity ikipungua na momentum inapungua na collision impact inapungua.
 
Engineer umeenda mbali na jibu zito kwa swali jepesi. By the way tunashukuru kwa kutukumbusha hayo madudu. Jibu rahisi ni gavitational pull , na air resistance vinapunguza kinetic energy ya risasi hivyo impact inakuwa dhaifu kwavile momentum ni ndogo. Kwa kumalizia hapa ni kwamba Distance au umbali wa risasi kusafiri unapoongezeka ndivyo inakuwa imetembea sehemu kubwa ya mkingamo wa msuguano wa hewa na muda uliotumia unakuwa mkubwa hivyo velocity inapungua (Velocity=Distance/Time). Kumbuka Momentum=Mass x Velocity kwa hivyo velocity ikipungua na momentum inapungua na collision impact inapungua.
 
Kweli kabsa mkuu.
 
naikubali sana AK47
 
Kwanza ngoja ni kusahihishe kitu, kitaalamu hakuna bunduki inayoitwa Submachine Gun (SMG) kiuhalisia SMG ni Muundo tu wa bunduki, yaani SMG ni ile bunduki ambayo mapigo yake yapo automatic, mfano, SMG Uzi gun, SMG ak47, SMG ak74, SMG G3, SMG RPK, SMG M,16 nk.
Ukiitoa SMG Uzi gun hapo juu siraha zote hizo zinapiga umbali wa mita ,1500 ambapo ni sawa na km moja na nusu, na zinauwezo wa kuuwa umbali wa mita 1200 zaidi ya hapo inajeruhi tu kwasababu ile gravity air inakuwa imepungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…