Nini hutokea na kupelekea risasi kupungua madhara kutokana na umbali?

Nini hutokea na kupelekea risasi kupungua madhara kutokana na umbali?

Mbona unajitesa hivyo ndugu yangu si urushe tu jiwe alafu ulicheki kama likifika mita
100 lina madhara
 
if you hold a bullet in one hand and a pistol in the other, both hands at the same height, and subsequently fired the pistol at the same time as dropping the bullet, both bullets would hit the ground at the same time (assuming the fired bullet encounters no obstacles). Is this true..?
True. The force that pushes a bullet forward has no effect to the gravitation force that pulls a bullet downward, assuming the forward force of a bullet is perpendicular to the gravitational force. Since its the same force (g) that pulls two bullets at the same time downward, then they will hit the ground at the same time since they're at the same height. Doesn't matter whether the other bullet is moving forward or not.
 
Wakuu habari zenu, leo naleta mada hii ili wajuvi wa mambo haya ya physics na sayansi zinazohusu silaha mnisaidie.

Mtakubaliana namimi kwamba bunduki inapopiga risasi basi risasi hiy? Yaani kama ni energy ya kuirusha inapungua naomba nipewe ufafanuzi mzuri hapa maana mpaka leo sijapata jibu kamili.

Nawasilisha
Spidi ya risasi inapungua kutokana na msuguano Kati ya risasi na hewa, hivyo kupoteza nguvu jinsi risasi inavyoenda mbele. Spidi ya risasi (muzzle velocity) inapotoka kwenye bunduki inategemea uzito wa risasi, urefu wa bomba la bunduki na ubora/wingi wa baruti.
 
nijuavyo ni kutokana na nguvu mvutano ya dunia means risasi inakuwa inavutwa kwa kiwango flani hivyo kupoteza kasi yake na friction kati ya hewa na risasi inasababisha risasi kupoteza nguvu yake ya kasi..
kwa sayari ya jupiter nguvu yake ya uvutano ni mara mbili ya dunia hivyo kama ukipeleka hizi bunduki zetu na ukapiga itawahi kudondoka(kupoteza kasi) kama huku inauwezo wa kutembea mita 100 kule itatembea mita 50..lkn kama ukitaka itembee mita 100 ktk sayari ya jupiter utatakiwa uongeze presha ya msukumo zaidi ya bunduki yako,nafikiri hapa hata madhara yataongezeka endapo ukimpiga nayo mtu maana itakuwa strong sana..
sasa nachojiuliza kwa mfano ukipiga risasi kwenye vacuum na pasipo na uvutano je ile risasi itakuwa na kasi ile ile iliyochoropoka nayo hata ikitembea mita 100000..?
Newton's 3rd law
Every action force there is equal and opposite rct force
Hivyo itategemea force iliyokua applied, paspo kujalisha medium
 
Makruta na ma service man msipotoshe watu, watu wakajaribia ktk maisha Yao ya kila sku na kulete madhala makubwa wkt mwingine maafa.
N vzr watu wanao elewa wakatusaidia kujibu
 
Makruta na ma service man msipotoshe watu, watu wakajaribia ktk maisha Yao ya kila sku na kulete madhala makubwa wkt mwingine maafa.
N vzr watu wanao elewa wakatusaidia kujibu
Itakuwa ulipitia JKT wewe[emoji3]
Hawajafanya vibaya kwamaana wamejitahidi kuelezea kwa kadri wajuavyo kutokana na mafunzo waliyopewa. Ukisema kika kitu achangie mtaalamu wa kitu fulani respectively, basi hakuna uzi humu utakaopata maswali na wachangiaji wa kutosha.
Waache wafurahie uhuru wao ndani ya jukwaa hili pendwa[emoji120]
 
N kweli mkuu.
samahan wana jf...... =(=(
 
Sijui kama jamaa alikuwa hajui kuwa umbali unapunguza madhara ya risasi...

Mie nadhani ulikuwa unataka ufananishe risasi na bomu....kwenye kuleta impacts...

Jaribu kupitia google then check mechanism ya risasi kwenye kuleta madhara
 
SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA ISHIA HAPOHAPO KWANI MI NDO NLIKWAMBIA UKIMBIE PCM MWEHUU NINI OK ANYWAY TUENDELEE HIVYO BASI IKIWA UPO UMBALI MKUBWA MADHARA YA RISASI YANAPUNGUA KWA KUWA INDIECTI VYETI FEKI IN ORDER TO MOVE ON SASA NINI UNAKUNJA SURA SI ..
Facebook addicted at work
 
Chukuwa Manati ya kuwindia Ndege..
Mpe mwenzio aweke kijiwe au goroli kisha hesabu hatua 5 toka kwake mwambie akupige...
Baada ya hapo hesabu hatua zako 30 akupige tena
Hapo nadhani utaanza kuelewA...
Sawa kijanaa
Asipokuelewa hapa atakuwa anatokea koromije
 
Wakuu habari zenu, leo naleta mada hii ili wajuvi wa mambo haya ya physics na sayansi zinazohusu silaha mnisaidie.

Mtakubaliana namimi kwamba bunduki inapopiga risasi basi risasi hiyo hutoa madhara kutegemeana na umbali wa kitu kilichopigwa na wakati mwingine kutegemeana na aina ya silaha iliyotumika(hasa Kariba ya mtutu).

Kwa mfano Submachine Gun (SMG) risasi yake huweza kuua mtu kwa usahihi endapo umbali wa mpigaji na target usizidi mita 100
Lakini pia kuanzia mita 1500 tunaambiwa risasi hiyo itaishia kujeruhi tu
Sasa hapa naomba nipate majibu kitaalam ni nini hasa kinatokea mpaka risasi ijeruhi tu? Yaani kama ni energy ya kuirusha inapungua naomba nipewe ufafanuzi mzuri hapa maana mpaka leo sijapata jibu kamili.

Nawasilisha
Momentum mkuu
 
Jibu la kisayansi ni kwamba momentum ya risasi huenda ikipungua kadiri risasi inavyosonga mbali na mahali ilipofyatuliwa. Hii hupelekea Force of impact kupungua kwani kuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya momentum, uzito wa risasi, na kasi ya risasi.
Perfect. Short and clear
 
SIKILIZENI NYIE MLOKIMBIA PCM..IKO HIVII RISASI INASUKUMWA NA HOSE POWER INAYOITWA HOLLY POWER OF DIGEST THE CONJECTION AMBAYO INAWEZA KUVUTANA NA HEWA KWA MFANO WEWE UNA MAMA MDOGO WAKO AKAJA LAKINI SIKU HIYO ANAPENDA SANA MSOSI OF THE GRAVITY INAWEZA KUKIMBIA UMBALI KWA MFANO KAMA UMEKASIRIKA ISHIA HAPOHAPO KWANI MI NDO NLIKWAMBIA UKIMBIE PCM MWEHUU NINI OK ANYWAY TUENDELEE HIVYO BASI IKIWA UPO UMBALI MKUBWA MADHARA YA RISASI YANAPUNGUA KWA KUWA INDIECTI VYETI FEKI IN ORDER TO MOVE ON SASA NINI UNAKUNJA SURA SI ..
Umeandika nin sasa
 
Maximum range ya bunduki inapatikana kwa angle ya elevation 45 degrees, hivyo ni muhimu kujua umbali ambao kutakuwa na mnyooko wa kulenga shabaha na ule ambao yaweza kuua au kujeruhi bila dhamira ya mpigaji.
Ha ha projectile motion
 
Back
Top Bottom