Nini huwa kinapelekea watu kuua au kujiua kutokana na mapenzi ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mtu huwa anakuwa amefikia katika hali gani kiakili mpaka anaua au anajiua kwa sababu ya mapenzi ?

1. Ni kwamba anakuwa anaona hawezi kupata tena Mpenzi mwingine kama huyo?

2. Anakuwa ameingia gharama kubwa sana ya mali na fedha isiyoweza kurudishika ?

3. Anaona amedharailiwa kwa kiwango cha mwisho?

4. Anakuwa amepotezewa muda sana ?

5. Au huwa ni hasira special za mapenzi za kuchanganyikiwa zisizoeleweka ambapo majuto huja baada ya kutenda tukio ?
 
Fikra za kuhisi umezudhulumiwa,unampata, mwanamke anakuwa meet, mpenzi, unajiaminisha huyu ni wangu ndani ya himaya yangu, siku akichepuka, unadata!

Swala hapa ulijiambia nini?

Usijipe umuhimu mbele ya mwanamke, akiamua kugawa uroda muache.

Kama mtu anataka kukudhulumu nyumba, mashamba,kampuni, magari,hapo pambana, kisheria, sio, kuua, lakini mwanamke, umekutana, nae ukubwani tena watu wameishaipitia machine yake, halafu unaua! huo ni ufala bwana!
 
Fikra za kuhisi umezurumiwa,unampata, mwanamke anakuwa meet, mpenzi, unajiaminisha huyu ni wangu ndani ya himaya yangu, siku akichepuka, unadata!
Swala hapa ulijiambia nini?
Usijipe umuhimu mbele ya mwanamke, akiamua kugawa uroda muache,
Kama mtu anataka kukudhulumu nyumba, mashamba,kampuni, magari,hapo pambana, kisheria, sio, kuua, lakini mwanamke, umekutana, nae ukubwani tena watu wameishaipitia machine yake, harafu unaua!huo ni ufara bwana!
Hapo kwenye kudhulumiana mali mtu anaweza kueleweka lakini sasa kuna ile mauaji ni "wivu wa mapenzi" tu kama vile wanyama porini wanavyouana wakigombania majike!
 
Afya ya akili na uelewa mdogo wa elimu ya hisia..Tatizo kubwa la binadamu hususani ngozi nyeusi (wamatumbi) ni kujimilikisha nafsi za binadamu wengine in the name ya hisia za mapenzi /ndoa na tatakataka zingine za kimahusiano..Mtu anafikiri ana sauti kuu juu ya maamuzi ya binadamu mwingine eti tu kwa sababu wamefunga ndoa au wamekubaliana kuwa wapenzi . Wanashindwa kuelewa kuwa hayo ni maamuzi binafsi ya mtu .Kama alivyokubali kuwa mpenzi wako ndivyo anaweza kuamua kukataa Siku yoyote na kwa sababu yoyote atakayoona inamfaa..Kama anavyokulia chupi ili uone utupu wake ambao ni Mali yake ndivyo anavyoweza kumvulia mwingine sababu yeye ndie mwenye mamlaka ya mwisho juu ya mwili wake..

Hayo mengine ya kuwekeza Mali sijui pesa na vitu vingine kwa mtu .Hukutumwa ulifanya kwa hiari yako na mapenzi ni kamari ya kihisia..Ikitokea umeliwa piga chini
 
Hakuna jambo linalo halalisha mauji katika mahusiano ..Mahusiano ni jambo huruu, ni mjinga pekee ndie atakae weka Mali zake kuwa sehemu ya mahusiano yake .
 
Afya ya akili na uelewa mdogo wa elimu ya hisia..Tatizo kubwa la binadamu hususani ngozi nyeusi (wamatumbi) ni kujimilikisha nafsi za binadamu wengine in the name ya hisia za mapenzi /ndoa na tatakataka zingine za kimahusiano..Mtu anafikiri ana sauti kuu juu ya maamuzi ya binadamu mwingine eti tu kwa sababu wamefunga ndoa au wamekubaliana kuwa wapenzi . Wanashindwa kuelewa kuwa hayo ni maamuzi binafsi ya mtu .Kama alivyokubali kuwa mpenzi wako ndivyo anaweza kuamua kukataa Siku yoyote na kwa sababu yoyote atakayoona inamfaa..Kama anavyokulia chupi ili uone utupu wake ambao ni Mali yake ndivyo anavyoweza kumvulia mwingine sababu yeye ndie mwenye mamlaka ya mwisho juu ya mwili wake..

Hayo mengine ya kuwekeza Mali sijui pesa na vitu vingine kwa mtu .Hukutumwa ulifanya kwa hiari yako na mapenzi ni kamari ya kihisia..Ikitokea umeliwa piga chini
"mapenzi ni kamari ya kihisia" 🤣
 
Mtu huwa anakuwa amefikia katika hali gani kiakili mpaka anaua au anajiua kwa sababu ya mapenzi ?

1. Ni kwamba anakuwa anaona hawezi kupata tena Mpenzi mwingine kama huyo?

2. Anakuwa ameingia gharama kubwa sana ya mali na fedha isiyoweza kurudishika ?

3. Anaona amedharailiwa kwa kiwango cha mwisho?

4. Anakuwa amepotezewa muda sana ?

5. Au huwa ni hasira special za mapenzi za kuchanganyikiwa zisizoeleweka ambapo majuto huja baada ya kutenda tukio ?
Ni upungufu wa akili na umaskini.
Ukiwa na akili zilizotimia na huna njaa huwezi jiua kwa ajili ya MTU hata hajakuzaa.
 
Ni hofu ya kuishi anakata tamaa ya kuishi. Hii hutokea kwa watu wanaowekeza 100% kwenye mahusiano kuna sie hata kama tukiachwa chozi lang la thaman haliwezi kudodoka kwaajili ya mpuuzi tu.
 
Back
Top Bottom