stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Nini Huwa unafanya kukusaidia kiafya unapokuta choo cha jumuia ni cha kukaa
Mimi siwezi kukalia hilo dubwasha ambalo kila mtu anaweka matako yake hapo!View attachment 3307163 habari
Nini Huwa unafanya kukusaidia kiafya unapokuta choo cha jumuia ni cha kukaa
Wengine umezoea kunya poriniWatanzania hata choo cha kuchuchumaa matumizi yake bado ni shida tu.
Wengine Kuflash tatizo, wengine wanapaka mavi ukutani, wengine wanatumia karatasi. Mambo tafrani tupu.Wengine umezoea kunya porini