Nini Huwa unafanya kukusaidia kiafya unapokuta choo cha jumuia ni cha kukaa

Mimi napanda juu hapo,, yaani naweka miguu juu ya sink
 
Watanzania hata choo cha kuchuchumaa matumizi yake bado ni shida tu.
 
Choo cha kukaa, unata ushauri gani tena? Ungewauliza wenyeji wako huko uliko wao wanafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…