Nini huwezi kabisa kati ya haya

Nini huwezi kabisa kati ya haya

kitiji

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
68
Reaction score
55
wadau!
Amani iwe nanyi!

nini huwezi kabisa kabisa kati ya haya chini
1.kukaa bila simu kwa miezi mitatu
2.kukaa bila kufanya mapenzi kwa miezi mitatu
3. kukaa bila pesa kwa miezi mitatu
 
wadau!
Amani iwe nanyi!

nini huwezi kabisa kabisa kati ya haya chini
1.kukaa bila simu kwa miezi mitatu
2.kukaa bila kufanya mapenzi kwa miezi mitatu
3. kukaa bila pesa kwa miezi mitatu
nafanya mapenzi nikiwa na hela ,natumia simu nikiwa na hela....inshort nafanya 99% ya mambo yangu nikiwa na hela
 
wadau!
Amani iwe nanyi!

nini huwezi kabisa kabisa kati ya haya chini
1.kukaa bila simu kwa miezi mitatu
2.kukaa bila kufanya mapenzi kwa miezi mitatu
3. kukaa bila pesa kwa miezi mitatu
Naweza vyote hata kwa miaka 3 sio hiyo miezi tuu
 
Back
Top Bottom