Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikufuate wapi sasa??au ndo kule korokoroni[emoji16]
Zamani watu walikua wanaishi vp kabla hela haijagunduliwaUnaishi vp bila pesa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikufuate wapi sasa??au ndo kule korokoroni[emoji16]
nafanya mapenzi nikiwa na hela ,natumia simu nikiwa na hela....inshort nafanya 99% ya mambo yangu nikiwa na helawadau!
Amani iwe nanyi!
nini huwezi kabisa kabisa kati ya haya chini
1.kukaa bila simu kwa miezi mitatu
2.kukaa bila kufanya mapenzi kwa miezi mitatu
3. kukaa bila pesa kwa miezi mitatu
[emoji23][emoji23]naja basi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ewaaah, wahi mapema nafasi ni chache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza vyote hata kwa miaka 3 sio hiyo miezi tuuwadau!
Amani iwe nanyi!
nini huwezi kabisa kabisa kati ya haya chini
1.kukaa bila simu kwa miezi mitatu
2.kukaa bila kufanya mapenzi kwa miezi mitatu
3. kukaa bila pesa kwa miezi mitatu
Safi bibie, karibu korokoroni kumenoga.[emoji23][emoji23]naja basi