shamsi19jr
Member
- Oct 25, 2015
- 14
- 21
Kuvuja oil kwenye engine Mara nyingi ni Matatizo ya seal,Leo mchana nimefungua bonet nikakuta kama oil ina leak kwenye gari(vvti-cc 2360)2AZ engine sijui nn shida hapo hadi nadata gari ina miaka 2 toka itoke jep ikiwa na 96,000 milage ushauri tafadhali
Mkuu mbona unakuza tatizo?
Hiyo ni seal ya top cover na inaonekana hapo clearly kabisa.
Cylinder head inapokatikia asingeweza kupiga picha.
Mkuu JituMirabaMinne ,
Namimi yaweza kuwa ni the same issue, top cover seal? Nilifanya oil service. Nimetembea almost 3,000 Km, na sasa dipstick inasoma oil imo nusu! Oil imevujia sana all over the cover.
View attachment 3168314
View attachment 3168316
View attachment 3168318
Pia, pale zinapoingia AC pipes panaonekana kuvuja hivi (not oil). ππΎππΎ
View attachment 3168322

Nonsense! Kama hauna any idea ya suala husika, kaa kimya. Siyo lazima useme/uandike. Save your energy!Jipunguzie vitu vya kuweka kichwani,
Kaz kama iyo peleka kwa wataalam wakusaidie.
Hii mambo ya kupiga pic af ukataka msaada utajikuta unaharibu zaidi
Ni km mtu unaumwa tumbo afu unataka msaada wakat tumbo linaweza uma kutokana na sababu kibao utashauriwa dawa ya minyoo kumbe una apendex
Oil hiyo inavuja kutoka kwenye cylinder head ndiyo maana ifunika cylnder head yote. Ni vigumu kukupa diagnosis kamili bila kuikagua injini wakati inaunguruma. Hata hivyo hizo injini za VVT-i zina oil control valves ama moja au mbili juu ya cylinder head, moja ikiwa kulia na nyingine kushoto. Wasiwasi wangu ni kuwa o-rings za hizo oil control valves hizo zimekauka hivyo hazibani sawasawa na kuasababisha oil ivuje juu ya cylinder. Ama sivyo valve zenyewe ndizo zimekufa zinarudisha oil nyuma na kuivujisha kwenye cylnder head.Kichuguu , naomba maoni yako mkuu.
Oil hiyo inavuja kutoka kwenye cylinder head ndiyo maana ifunika cylnder head yote. Ni vigumu kukupa diagnosis kamili bila kuikagua injini wakati inaunguruma. Hata hivyo hizo injini za VVT-i zina oil control valves ama moja au mbili juu ya cylinder head, moja ikiwa kulia na nyingine kushoto. Wasiwasi wangu ni kuwa o-rings za hizo oil control valves hizo zimekauka hivyo hazibani sawasawa na kuasababisha oil ivuje juu ya cylinder. Ama sivyo valve zenyewe ndizo zimekufa zinarudisha oil nyuma na kuivujisha kwenye cylnder head.
Kagua hizo valves ikiwezekana ubadilishe valve nzima siyo o-rings tu. Picha ulizoweka hazionyeshi sawasawa kwe vile zimechukuliwa upande mmoja tu wa injini ambapo sijui kama ni kulia au kushoto. Ingekuwa vizuri kama ningeona kutokea pande zote mbili: kulia na kushoto. Sasa hivi shughulika na hizo oil control valves tu, tena upate genuine kwani ukipata aftermarket zinaweza zisilingane sawasawa na tundu la kwenye injini na kusababisha uvujaji uendelee.