Nini itakuwa hatma ya Scorpion?

Kesi ni ushahidi wa kutosha hasa hili la scorpion ukizingatia ni Jinai, ushahidi wake hautakiwi kuacha shaka hata kidogo duu! Lolote linaweza kutokea
 
Huyo Nge amehojiwa na amekubali kwa kinywa chake mwenyewe kuwa ndiye aliye fanya hilo tukio...
Unataka mwanasheria ili aje afanye nn?!
 
Sasa hata scorpion akipinga kuna ushahidi wowote?
Alafu haya mambo ya kuwekana ndani kabla uchunguzi haujakamilika haileti picha nzuri,
KAMA MNAJUA UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA MNAMKAMATIA NINI SASA?
Si mumuache muendelee na uchunguzi wenu?
Ni utaratibu wa kisheria pengine unaweza kua hata ni msaada kwa huyo aliewwkwa ndani kuepusha mengi
 
Ni hivi, hakutakua na ushahidi wowote utakaoishawishi mahakama kumtia hatiani. Hii ni kwa sababu ushahidi mwingi ni oral testimonies kutoka kwa eye witnesses ambao ni ushahidi dhaifu sana..

Ataachiwa huru kisha kesho yake atauwawa na wananchi wenye hasira kali kwa sababu uraiani hakuna natural justice!
 
Thibitisheni beyond reasonable doubts kams yeye ndiye aliyefanya hivyo la sivyo mnamsingizia
 
Amtoboe mtu macho, amyang'anye alichokuwa nacho, amburuze barabarani ili magari yamgonge.
Kisha akajisalimishe polisi, kweliiii?!!!!
Kesi za kina zombe hizi.
 
huyu nasema kwa mawazo yangu huyu scorpion na said watakutana siku moja na kupga story na kuwezekana kuwa marafiki
 
Story ya huyo Said imeshikiliwa kisiasa zaidi na viongozi kiasi kwamba Scorpion ameshahukumiwa na raia plus media before hata ya mahakama.

Tukipata nafasi ya kusikiliza na upande wa pili ndio mambo walau yatakuwa clear.
 
Sasa hata scorpion akipinga kuna ushahidi wowote?
Alafu haya mambo ya kuwekana ndani kabla uchunguzi haujakamilika haileti picha nzuri,
KAMA MNAJUA UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA MNAMKAMATIA NINI SASA?
Si mumuache muendelee na uchunguzi wenu?

Polisi wapo sahihi kumshikilia, akiachiwa Kwa dhamana kisheria hata katiza hatua mia, wananchi watamgawana vipande vipande, watu walivyo na usongo, sijui ataishi wapi zaidi ya Polisi .
 
Ngojea ninawe mikono kama Pilato sijui hatma ya yoyote yule.🙄
 
Wacha porojo kuna ushahidi unaoweza ku beat eye witnes?pia wananchi gani hao wa kumsubiri wakati wote walilala mbele?
Ila kama ulimaanisha ushahidi wa hear say then unahoja hapo jamaa anaweza kuwa acquited.
Na kingine nashangaa kwa nini mr side hakushtaki kabla mpaka media zimtambulishe kwa mamlaka husika upande wake nao wapaswa kupekuliwa
 
Bado ni mtuhumiwa! endapo mahakama itathibitisha kwamba anahusika sharia itachukuwa mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…