Richard Chomile
Member
- Jul 28, 2014
- 68
- 22
Kesi ni ushahidi wa kutosha hasa hili la scorpion ukizingatia ni Jinai, ushahidi wake hautakiwi kuacha shaka hata kidogo duu! Lolote linaweza kutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utaratibu wa kisheria pengine unaweza kua hata ni msaada kwa huyo aliewwkwa ndani kuepusha mengiSasa hata scorpion akipinga kuna ushahidi wowote?
Alafu haya mambo ya kuwekana ndani kabla uchunguzi haujakamilika haileti picha nzuri,
KAMA MNAJUA UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA MNAMKAMATIA NINI SASA?
Si mumuache muendelee na uchunguzi wenu?
Ooh hapo sawaNi utaratibu wa kisheria pengine unaweza kua hata ni msaada kwa huyo aliewwkwa ndani kuepusha mengi
Sasa hata scorpion akipinga kuna ushahidi wowote?
Alafu haya mambo ya kuwekana ndani kabla uchunguzi haujakamilika haileti picha nzuri,
KAMA MNAJUA UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA MNAMKAMATIA NINI SASA?
Si mumuache muendelee na uchunguzi wenu?
Wacha porojo kuna ushahidi unaoweza ku beat eye witnes?pia wananchi gani hao wa kumsubiri wakati wote walilala mbele?Ni hivi, hakutakua na ushahidi wowote utakaoishawishi mahakama kumtia hatiani. Hii ni kwa sababu ushahidi mwingi ni oral testimonies kutoka kwa eye witnesses ambao ni ushahidi dhaifu sana..
Ataachiwa huru kisha kesho yake atauwawa na wananchi wenye hasira kali kwa sababu uraiani hakuna natural justice!