jamani, kijana wangu nilikuwa namhamasisha asome masomo ya sayansi, nilipenda awe daktari, mimi ni mwanasheria na sitaki wadogo zangu wawe wanasheria. namshukuru Mungu amepata BIOLOGY "B", CHEMISTRY "C" , PHYSICS "D" NA MATHEMATICS "D". kwenye masomo ya arts amefaulu yote kwa alama B na C tu. naomba Mungu afanikiwe kuchaguliwa shule nzuri ya sayansi kwa PCB, kama ikishindikana nampeleka hata za private kwa combination hiyo. sifa na utukufu kwa Mungu, mtoto mwenyewe ni yatima mtoto wa dadangu, kweli Mungu anawajua walio kwenye shida.
kwa wale wanaozijua shule za private nzuri, shule za sayansi, tusaidiane kuzitaja hapa. nataka afaulu hadi aende muhimbili. kwa msaada wa Mungu itawezekana hakika.
hongera sana kwa kuwajali ndugu zako wenye mahitaji, wengine hata kukushauri pitia njia hii wanaona wivu, ee mwenyezi mungu nibariki niwe na moyo wa kusaidia wahitaji!
Kidato cha tano ni mpka uwe na credits yani C tano.
mkuu hii habari ya c tano umetoa wapi?..
nachokijua mimi ni kwamba uwe na atleast C tatu..

what do you mean ?hutwo tupicha cjaelewa

Weee.. mwambie aache kabisa hiyo PCB labda kama ataenda Private.. na sio Serikali.. Fom Six atapata vitu vya ajabu..
nani kasema hivyo?, ninajua mimi C tatu in mpango mzimaKidato cha tano ni mpka uwe na credits yani C tano.