Nini itakuwa sifa ya kujiunga na a-level na vyuo vingine

Nini itakuwa sifa ya kujiunga na a-level na vyuo vingine

kufaulu kwenda kidato cha tano ni C (credit) tatu pamoja na D (pass) zisizopungua mbili
 
jamani, kijana wangu nilikuwa namhamasisha asome masomo ya sayansi, nilipenda awe daktari, mimi ni mwanasheria na sitaki wadogo zangu wawe wanasheria. namshukuru Mungu amepata BIOLOGY "B", CHEMISTRY "C" , PHYSICS "D" NA MATHEMATICS "D". kwenye masomo ya arts amefaulu yote kwa alama B na C tu. naomba Mungu afanikiwe kuchaguliwa shule nzuri ya sayansi kwa PCB, kama ikishindikana nampeleka hata za private kwa combination hiyo. sifa na utukufu kwa Mungu, mtoto mwenyewe ni yatima mtoto wa dadangu, kweli Mungu anawajua walio kwenye shida.

kwa wale wanaozijua shule za private nzuri, shule za sayansi, tusaidiane kuzitaja hapa. nataka afaulu hadi aende muhimbili. kwa msaada wa Mungu itawezekana hakika.

Kwanini mtu asisomee sheria/uanasheria? Tunaomba sababu zako, zitasaidia wengine.
Usikute yeye anapenda kusoma kitu tofauti na unachopendekeza wewe!
 
jamani, kijana wangu nilikuwa namhamasisha asome masomo ya sayansi, nilipenda awe daktari, mimi ni mwanasheria na sitaki wadogo zangu wawe wanasheria. namshukuru Mungu amepata BIOLOGY "B", CHEMISTRY "C" , PHYSICS "D" NA MATHEMATICS "D". kwenye masomo ya arts amefaulu yote kwa alama B na C tu. naomba Mungu afanikiwe kuchaguliwa shule nzuri ya sayansi kwa PCB, kama ikishindikana nampeleka hata za private kwa combination hiyo. sifa na utukufu kwa Mungu, mtoto mwenyewe ni yatima mtoto wa dadangu, kweli Mungu anawajua walio kwenye shida.

kwa wale wanaozijua shule za private nzuri, shule za sayansi, tusaidiane kuzitaja hapa. nataka afaulu hadi aende muhimbili. kwa msaada wa Mungu itawezekana hakika.

kama ni msichana kuna shule ipo same kilimanjaro inaitwa KANDOTO SAYANSI hapo kwa pcb ntamshauri,
kuna shule kama majengo pia ipo moshi... nyingine watajazia wadau!!! mpe hongera sana na wewe pia hongera!!!
ANGALIZO...
Kipindi hiki (baada ya matokeo kutoka) ni kipindi ambacho wanafunzi wengi sana wanapoteza ndoto zao hasa kwa maneno toka kwa wenzao, nakushauri kama kweli anania ya kuwa daktari basi anza kumjenga tokea sasa na kama akienda shule uwe msaada wake hasa kwa kumpa moyo pindi masomo yanapokua magumu!!! kila la heri...
 
Weee.. mwambie aache kabisa hiyo PCB labda kama ataenda Private.. na sio Serikali.. Fom Six atapata vitu vya ajabu..

Ningesikilizaga watu kama nyie walahii nsingekuwepo hapa nilipo!!!! kwani wanaoenda serikali hawafaulu?? hivi watu kama nyie tanzania mtaisha lini??
 
Nadhani wizara itatoa ufafanuzi wa hilo ila me naona sifa ya kwenda advance itakua div 1 mpaka div III ya 25,then the rest nafasi za vyuo
 
Nadhani wizara itatoa ufafanuzi wa hilo ila me naona sifa ya kwenda advance itakua div 1 mpaka div III ya 25,then the rest nafasi za vyuo

kwani div 3 ya 25 na div 3 ya 31zinautofauti gani?na kama mwisho ni div 3 ya 25 kwa nini 30 iwe div 3,na kama ni hivyo mbona hawajasema kuna div 3 negative na positive.
 
Back
Top Bottom