SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,181
- 1,714
jamani, kijana wangu nilikuwa namhamasisha asome masomo ya sayansi, nilipenda awe daktari, mimi ni mwanasheria na sitaki wadogo zangu wawe wanasheria. namshukuru Mungu amepata BIOLOGY "B", CHEMISTRY "C" , PHYSICS "D" NA MATHEMATICS "D". kwenye masomo ya arts amefaulu yote kwa alama B na C tu. naomba Mungu afanikiwe kuchaguliwa shule nzuri ya sayansi kwa PCB, kama ikishindikana nampeleka hata za private kwa combination hiyo. sifa na utukufu kwa Mungu, mtoto mwenyewe ni yatima mtoto wa dadangu, kweli Mungu anawajua walio kwenye shida.
kwa wale wanaozijua shule za private nzuri, shule za sayansi, tusaidiane kuzitaja hapa. nataka afaulu hadi aende muhimbili. kwa msaada wa Mungu itawezekana hakika.

Weee.. mwambie aache kabisa hiyo PCB labda kama ataenda Private.. na sio Serikali.. Fom Six atapata vitu vya ajabu..
Nadhani wizara itatoa ufafanuzi wa hilo ila me naona sifa ya kwenda advance itakua div 1 mpaka div III ya 25,then the rest nafasi za vyuo