Nini kazi ya hivi vipipi?

Nini kazi ya hivi vipipi?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini?

Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka kwa bei kubwa kweli kweli.

Na kuna siku juzi kuna msichana mmoja aliniambia kuwa anavitumia na vimesababisha akapewa pesa nyingi( Kwenye kazi yake ya kudanga). Hebu naombeni mnitoe tongotongo kwa picha navijua ila sijui kazi yake na vinaliwaje na vinatumikaje

Naomba kuelimishwa...
images (16).jpeg
 
Ukutane na mtu anataka tu kukuvuruga
Akunyweee chai ya tangawizi +vipipi
Au karafuuu alafu akatumie strepsils 😅😅😅

Kaka zangu mna safari ndefu sana
Aisee kweli lazima dunia uone yako au sio 😂😂
 
Back
Top Bottom