Nini kazi ya hivi vipipi?

Huyu jamaa atafungwa sio kwa promo hii 😃
Yaani mwanamke akimeza mwanaume atatamani tu kumwingilia bila kuchoka 🙂 ina maana mwili hautapata uchovu hata kama ni wiki
Hapana si hivo wanatumia wakiwa na miadi tial ya kukutana na mwanaume.
Swali ambalo najiuliza miadi ikienda sivyo ina maan hizo nyege zinapelekwa wapi maan hivo vipipi ni kama Viagra tu sema wauzaji hawasemi hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…