Nini kazi ya Mkurugenzi wa Ufundi pale TFF?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Kwa miaka miki nasikia huu wadhifa wa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) . Aliwahi kushika wadhifa huo Sunday Kayuni na sasa ni Salum Madadi. Je ni nini majukumu ya msingi ya wadhifa huu?
 
Moja ya nguzo katika mpira ni idara ya ufundi maana hii ndio inatoa directions yote ya Mpira wetu ili uendelee unapaswa kupitia program zipi, kuanzia za copa coca cola zile zinazohusu vijana pia wao ndio co ordinator wa mashindano yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh true mkuu
 
Back
Top Bottom