Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya nguzo katika mpira ni idara ya ufundi maana hii ndio inatoa directions yote ya Mpira wetu ili uendelee unapaswa kupitia program zipi, kuanzia za copa coca cola zile zinazohusu vijana pia wao ndio co ordinator wa mashindano yoteKwa miaka miki nasikia huu wadhifa wa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) . Aliwahi kushika wadhifa huo Sunday Kayuni na sasa ni Salum Madadi. Je ni nini majukumu ya msingi ya wadhifa huu?
Ooh true mkuuMoja ya nguzo katika mpira ni idara ya ufundi maana hii ndio inatoa directions yote ya Mpira wetu ili uendelee unapaswa kupitia program zipi, kuanzia za copa coca cola zile zinazohusu vijana pia wao ndio co ordinator wa mashindano yote
Sent using Jamii Forums mobile app