Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Haahahahaaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38] kweli mkuu ngoja tusubirie majibu hapa mimi mwenyewe sijuiKama ujuavyo mkuu, shibe huleta mawazo chanya..[emoji1] [emoji1]
kweli haya ni mawazo ya kushiba...tungoje majibu mana hata mimi natamani kujua kaxi yakeMkuu..
Ilikua ni dona na uyoga[emoji39]
Mbona hatubaki na sehemu za nyeti za kike kama alama?Wewe nafikiri elimu ya biologia imekupita kushoto
Hivyo ni vigumu kuelewa elimu hii...kwa haraka
Ki msingi...tukiwa tumboni kwa mama zetu wapendwa..wote tunafanana...stage by stage ndio viungo vingine vinakuwa dominant...na vingine Kama chuchu za kiume zina bakia kama Alama tu