Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Kwema wakuu.
Leo nimekutana na kitu kigeni, nikajua hapa JF hakuna kinachokosa majibu.
Kwenye 'eksozi' ya gari, ndani yake ukichimbachimba, unapata vipande vipande kama vya udongo na unga unga. Nimeambiwa unauzwa. Lakini sijapata Majibu hasa kazi ya ule unga ni nini.
Naombeni kuelimishwa kwa wenye ufahamu.