Kwamba imesanifiwa na Architecture? Mwambie akurudishie pesa yako mkuu. Bajeti ya ujenzi ni kiasi gani? Kama inafikia 160million nikupe ramani yanguWakuu Salama?
Naomba mnifanyie critical Review ya huu mchoro toka Kwa Mtaalam wangu.Lengo langu ni 4 bedroom all ensuite Kwa Familia Kubwa/AirBnB na pia.
Itajengwa Village.Wanafamilia watatumia siku za mwisho wa Mwaka Ila wakiondoka inaleta Pesa kama AirBnB.
Vitu gani viko Sawa na vitu gani havipo sawa?
Hata DM nitashukuru.
Ahsante
View attachment 3002078
Washing mashine utaiweka wapi?Vya kubadilika ni vingi sana
- verandah ya mbele
- Hakuna haja ya laundry
- dining na kitchen kutenganishwa na corridor
- ukataji wa vyoo utafanya muonekano wa ndani wa chumba kuwa mbaya
- shape ya nyumba itakua kama box
Shukrani mkuu,nimezingatiachoo mbele ya entrance verander ni uchafu tu na hakina maana yeyote yaani mtu anataka kuingia kwako anatangulia kukutana na choo kwanza?!!.
2. hakuna connection kati ya sitting, dinning na kitchen katika huo mchoro maana ni vyema kuwe na connection. pata picha mtu yuko sitting anatoka kwenda dinning inabidi atembee umbali mrefu bila sababu. kingine mtu anaandaa chakula apeleke dinning ni kama anapeleka kwenye chumba kingine.
3. muonekano wa mwisho wa hiyo nyumba utakuwa kama umejenga darasa hivyo hautakuwa mzur. nyumba ikiwa na kona kona inapendeza zaidi
ushauri
tafuta mtu adesign kitu kizur achana na huu mchoro
Sio lazima kuwepoWashing mashine utaiweka wapi?