Umekuwa bodyguardFanya mwanamke kama mboni ya jicho lako. Mfiche kama kitu cha thamani sana.. ( ishi kama kiindi vile ) [emoji28][emoji28][emoji28] ala sie wenza wetu tuna wa expose sana, wanaonekana sana na kila aina ya watu kuanzia makazini kwenye vikoba.. sio kwamba wanapenda ku cheat pressure inakuwa kubwa sana hadi wanaachia mzigo
Mume ni bodyguard wa mke na mke ni hivyo hivyo.. unaweza ignore hii.. ila jiandae kisaikolojia.. mwanamke bila protection.. anakuwa kama kwenye war zone peke yake.. pressure ikiwa kubwa anachanua tuUmekuwa bodyguard
Akili mbovu, jina mbovu na muandiko mbovu.*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sas ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.
lkn ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.
Wanaume tafuteni bikra
SawaMume ni bodyguard wa mke na mke ni hivyo hivyo.. unaweza ignore hii.. ila jiandae kisaikolojia.. mwanamke bila protection.. anakuwa kama kwenye war zone peke yake.. pressure ikiwa kubwa anachanua tu
Hawa Mbuzi wa sasa hivi hawataki protection, they want maximum freedom beyond democracyMume ni bodyguard wa mke na mke ni hivyo hivyo.. unaweza ignore hii.. ila jiandae kisaikolojia.. mwanamke bila protection.. anakuwa kama kwenye war zone peke yake.. pressure ikiwa kubwa anachanua tu
Ukiona hataki protection achana nae, atakuwa ana ajenda nzake mbayaHawa Mbuzi wa sasa hivi hawataki protection, they want maximum freedom beyond democracy
Kwenye Avatar yako naona π³οΈβπAmazing story, wakataa ndoa hatutegeki wala kuyumba, kataa ndoa ni kataa ndoa haina mbambamba
Ni tabia ya mtu ata ukioa bikra utachapiwa tu[emoji23][emoji23]
Na hiyo ndio kanuni ya kuishi na mke, toka enzi.. sasa sie usasa ndio unatuponza.. ndio kuliana kama kawa mke unakuta anajulika kila mahala unafikiri hakuna wakali wa kazi kuliko ulie oa π π π .. mke kama hataki kufata hiyo kanuni jiandae tu ..Labda mfanye kama wapemba wanafungia wake zao ndani kama misekuleππ...Hawataki wakazoeana hata na majirani kila kitu wanawawekea ndani