Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Masikini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.

Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanaume oeni mabikra.

Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.

Wanaume tafuteni bikra
 
Fanya mwanamke kama mboni ya jicho lako. Mfiche kama kitu cha thamani sana.. ( ishi kama kiindi vile ) 😅😅😅 ala sie wenza wetu tuna wa expose sana, wanaonekana sana na kila aina ya watu kuanzia makazini kwenye vikoba.. sio kwamba wanapenda ku cheat pressure inakuwa kubwa sana hadi wanaachia mzigo
 
Fanya mwanamke kama mboni ya jicho lako. Mfiche kama kitu cha thamani sana.. ( ishi kama kiindi vile ) [emoji28][emoji28][emoji28] ala sie wenza wetu tuna wa expose sana, wanaonekana sana na kila aina ya watu kuanzia makazini kwenye vikoba.. sio kwamba wanapenda ku cheat pressure inakuwa kubwa sana hadi wanaachia mzigo
Umekuwa bodyguard
 
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.


Sas ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.

lkn ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.

Wanaume tafuteni bikra
Akili mbovu, jina mbovu na muandiko mbovu.
 
Kuwafanya wanawake kipaumbele cha maisha yenu kitawaumiza sana nyie mafala

Mwanamke ishi nae kama paka tu

We akikisha tu amekula ameshiba

Ataenda kuzulula jion atarudi

Na Kuna kipindi paka anatoroka wiki akirudi ana mimba na humfukuzi

Fanya mambo yako mwanamke sio wa kuchungwa
 
Labda mfanye kama wapemba wanafungia wake zao ndani kama misekule😂😂...Hawataki wakazoeana hata na majirani kila kitu wanawawekea ndani
Na hiyo ndio kanuni ya kuishi na mke, toka enzi.. sasa sie usasa ndio unatuponza.. ndio kuliana kama kawa mke unakuta anajulika kila mahala unafikiri hakuna wakali wa kazi kuliko ulie oa 😅😅😅.. mke kama hataki kufata hiyo kanuni jiandae tu ..
 
Back
Top Bottom