Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Nini kifanyike ili kuepuka "kuchapiwa"?

Mwanamke akiamua kukucheat anachepuka na hutojua kamwe na ushahidi wa ilo
Na haya mambo ya kusaidia kimaisha na wake ndio mlango wenyewe huo, mwanamke unatakiwa umuoe na akae ndani kama malkia.. sio na yeye akakita na Procure officer ma MD utalia tu.. kaangalie wahindi wanavyo ishi na wake zao.. kwanza kumjua mke ni kipengele na alipo mume mke yupo 😅😅
 
Very true hali ni mbaya na kama ana mshahara kwanzia Laki7 au take home Laki 6+ , Milioni, mamilioni ni nyoko
Mwanamke ni pambo la nyumbani, toka lini pambo liwe nje ? Mwanamke akiolewa anatakiwa akae ndani mda wote apendeze na kuwa smart na harufu nzuri kabisa.. sio kuswampa.. mwanamke ni wakukaa ndani ndio maana wanao oa wake wa darasa la pili ndoa zao zina ahueni kuliko za wasomi 😅😅
 
Mume ni bodyguard wa mke na mke ni hivyo hivyo.. unaweza ignore hii.. ila jiandae kisaikolojia.. mwanamke bila protection.. anakuwa kama kwenye war zone peke yake.. pressure ikiwa kubwa anachanua tu
Uyasemayo ni ya kweli lakini wanawake walishayakataa hayo au tumesahau hilo. Mwanamke alishasema mpe uhuru wake na kila msomi wa kike wanasema hawataki buguza kuoana kusifanye yeye aenjoy maisha na sheria zikawekwa kana kwamba ukifanya tu unaitwa misogynistic, control freak na insecure. Hivyo mwanamke alishakataa hayo, usijaribu kumshauri kijana wakizazi hiki hayo, utamfanya afe kwamsongo wa mawazo.
 
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.


Sas ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.

lkn ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.

Wanaume tafuteni bikra
Hata hao wanaochapwa walikuwa mabikra. Mungu mwenyewe alitamka "ulimwenguni mnayo tabu" maana aliona kero zilizopo. Siku utakayolala mavumbini ndo utakuwa umeachana na hizi kero. Ila kwa sasa tukiwa tupambane tu na hali.
 
Kuna walio oa mabikira na wanachapiwa vile vile. Haina formula hiyo utachapiwa tu upende usipende.
Na ukute humkuni vizuri utaenjoy show
Mwanamke hata akunwe vipi swala la kuchapwa nje ni constant,, ukienda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, kuna watu wanatoa shuhuda za kuwachapa wake za watu huko tena kimasihara kabisa.
 
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.


Sas ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.

lkn ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.

Wanaume tafuteni bikra
Wee nani kakudanganya? Kama bikra mwenyewe akishaonjeshwa utamu na mumewe, siku mumewe Yuko mbali unazani atakataa kuonjeshwa na wahuni afidie vionjo vya mumewe?

Acheni kujidanganya kabisa, kama alivyothubutu mpaka kutolewa bikra na dume, ndivyo atakavyothubutu kuliwa nje. Haya mambo hayanaga formula msijidanganye.
 
Back
Top Bottom