BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Halafu ninachoki-furahia siku hizi,, tunazichakata mbususu kimasihara mnoo, siyo wake za watu wala hawa wa kitaa, zote zimekuwa cheap sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanaochapwa si ni wao walikuwa mabikra , ushaur mbovu kuwah kutokea*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sas ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.
lkn ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.
Wanaume tafuteni bikra
We jamaa unaakili sana,..yani Mwanamke sio wakumfaatilia hata kidogo akiamua kuwekwa atawekwa tu utake usitakeKuwafanya wanawake kipaumbele cha maisha yenu kitawaumiza sana nyie mafala
Mwanamke ishi nae kama paka tu
We akikisha tu amekula ameshiba
Ataenda kuzulula jion atarudi
Na Kuna kipindi paka anatoroka wiki akirudi ana mimba na humfukuzi
Fanya mambo yako mwanamke sio wa kuchungwa
Ukitoka tu hataitaji wa Kukipuliza kipoe . 😁Kama hutaki kuchapiwa mchape wewe umuache anauguza maumivu. Ukirudi mchape tena. Yaani kisipoe.
Usianzishe uhusiano tu huo ndio uhakika kitochapiwa*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sas ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.
lkn ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.
Wanaume tafuteni bikra
Fanya mwanamke kama mboni ya jicho lako. Mfiche kama kitu cha thamani sana.. ( ishi kama kiindi vile ) 😅😅😅 ala sie wenza wetu tuna wa expose sana, wanaonekana sana na kila aina ya watu kuanzia makazini kwenye vikoba.. sio kwamba wanapenda ku cheat pressure inakuwa kubwa sana hadi wanaachia mzigo
Mume ni bodyguard wa mke na mke ni hivyo hivyo.. unaweza ignore hii.. ila jiandae kisaikolojia.. mwanamke bila protection.. anakuwa kama kwenye war zone peke yake.. pressure ikiwa kubwa anachanua tu
Na hiyo ndio kanuni ya kuishi na mke, toka enzi.. sasa sie usasa ndio unatuponza.. ndio kuliana kama kawa mke unakuta anajulika kila mahala unafikiri hakuna wakali wa kazi kuliko ulie oa 😅😅😅.. mke kama hataki kufata hiyo kanuni jiandae tu ..
Kucheat kupo, ila kwasababu hakuna wizi mtaani kwako, usiweke mlango 😅😅 wakija wanaingia tu
Ukweli mchungu sana huu mkuu.Na haya mambo ya kusaidia kimaisha na wake ndio mlango wenyewe huo, mwanamke unatakiwa umuoe na akae ndani kama malkia.. sio na yeye akakita na Procure officer ma MD utalia tu.. kaangalie wahindi wanavyo ishi na wake zao.. kwanza kumjua mke ni kipengele na alipo mume mke yupo 😅😅
Ni kugeuka mchapaji tu kama unaogopa kuchapiwa.*Wenye pesa wanachapiwa.
*Maskini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanume oeni mabikra.
Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela lkn washachapiwa.
Wanaume tafuteni bikra
Hayupo chini ya jua mwanamke wa hivi kwa dunia ya leoBasi omba upate mke mwema ambae halindwi ila anajilinda mwenyewe.
Siku hizi hakuna anayeoenda. Kinachopendwa ni pesa na other material things. Kwahiyo akija anayekuzidi pesa na other material things unachapiwaSema nini ukioa mwanamke aliye kupenda itakuwa ngumu sana ku chepuka.
Umetisha mkuuKuwafanya wanawake kipaumbele cha maisha yenu kitawaumiza sana nyie mafala
Mwanamke ishi nae kama paka tu
We akikisha tu amekula ameshiba
Ataenda kuzulula jion atarudi
Na Kuna kipindi paka anatoroka wiki akirudi ana mimba na humfukuzi
Fanya mambo yako mwanamke sio wa kuchungwa
Kucheat kupo, ila kwasababu hakuna wizi mtaani kwako, usiweke mlango [emoji28][emoji28] wakija wanaingia tu
Na siku akijua ajue hajaanza jana wala juzi. Ameshacheat miaka zaidi ya kumi
Na nikuambie bro.. hakuna mwanamke kazaliwa ku cheat au anapenda ku cheat.. ila mazingira na pressure za mazingira ndio zina waingiza kwenye hayo mambo..