Kumekua na matatizo mengi sana hiv sasa.ktk dunia hii yetu hv sasa.nazungumzia kwenye nyanza ya mahusiano ya mapenz na maisha kwa jumla.ndoa zinavurugika,mume kamwacha mke na mke kamwacha mume..kwenye urafiki yaan bf na gf huko ndio usiseme,kama kulala na kuamka..yaan imekua siyo issue kuachana..na kuanzisha tena.yapo meng ukiuliza..lakin yale ya msingi hasa ni nn?ni kwamba tabia zetu kwa sasa ni chafu?au ni fashion na kuiga tamaduni za watu wa magharib na kuacha zetu.?je kwa mwendo huu tutafika salama?au ndo vile tena tuache liende? dini zinanafasi ya kuweka mambo sawa?.kama ilivyo makusudi ya mungu.?hayo na mengne mengi ni maswali yanayonitatiza na ni maswali yangu kwenu..naomba kuwasilisha.