The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Na hapo wengi huwa ndipo tunashindwa, kila mmoja anajiona mjuaji kuliko mwenzakeKama kweli mnapendana then the best answer is compromise pande zote mbili....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo wengi huwa ndipo tunashindwa, kila mmoja anajiona mjuaji kuliko mwenzakeKama kweli mnapendana then the best answer is compromise pande zote mbili....
Andika hili kwenye note buku yako. soma biblia kwenye agano la kale katika kitabu cha hekima za mfalme Suleiman, ila nimesahau ni aya ya ngapi, inasema hivi. "PESA NDIO SULUHISHO LA YOTE" mwisho wa kunukuu. Jitahidi katika maisha yako uwe na kauchumi kidogo.
Siku hizi hatuna ndoa, ndoa zilikuwa zamani watu wakiapa mpaka kifo kitutenganishe walimaanisha, sasa hivi mtu anaapa huku jana yake kalala na msichana mwingine, hatuthamini viapo tulivyoapa yaani mbele ya watu walioshiriki, wazazi na mbele ya Mungu wetu.Mtu anaolewa kwa sababu tu shoga zake wameolewa wala hana upendo wa kweli kwa huyo mumewe, wakati mwingine kafata pesa tu na maisha ya juu, hapo akiingia ndio anaanza kujutia nafsi yake. kwa kifupi hofu ya Mungu hakuna mkuuKumekua na matatizo mengi sana hiv sasa.ktk dunia hii yetu hv sasa.nazungumzia kwenye nyanza ya mahusiano ya mapenz na maisha kwa jumla.ndoa zinavurugika,mume kamwacha mke na mke kamwacha mume..kwenye urafiki yaan bf na gf huko ndio usiseme,kama kulala na kuamka..yaan imekua siyo issue kuachana..na kuanzisha tena.yapo meng ukiuliza..lakin yale ya msingi hasa ni nn?ni kwamba tabia zetu kwa sasa ni chafu?au ni fashion na kuiga tamaduni za watu wa magharib na kuacha zetu.?je kwa mwendo huu tutafika salama?au ndo vile tena tuache liende? dini zinanafasi ya kuweka mambo sawa?.kama ilivyo makusudi ya mungu.?hayo na mengne mengi ni maswali yanayonitatiza na ni maswali yangu kwenu..naomba kuwasilisha.
Sidhani mkuuKwahiyo ni mwendo wakuwa na pochi lililojaa mahela
Ee Bwana, tunakuomba utujalie upendo ukiimarishwa na neema ya sakramenti ya ndoa, tuweze kushinda udhaifu na majaribu yote yanayozikumba familia zetu wakati mwingine, tufundishe kuheshimiana na kuchukuliana kwa upendo na amani yako ibaki mioyoni mwetu
lack of values in our communities kuanzia nyumbani...media ndio inafundisha watoto wetu..what do you expect in such a society? Will they ever value and respect relationships?
Andika hili kwenye note buku yako. soma biblia kwenye agano la kale katika kitabu cha hekima za mfalme Suleiman, ila nimesahau ni aya ya ngapi, inasema hivi. "PESA NDIO SULUHISHO LA YOTE" mwisho wa kunukuu. Jitahidi katika maisha yako uwe na kauchumi kidogo.
Na hapo wengi huwa ndipo tunashindwa, kila mmoja anajiona mjuaji kuliko mwenzake