Nini kifanyike ili kukuza uchumi tz?

cobb

New Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Hali ya uchumi inazidi kuwa mbaya kila siku ,nini kifanyike ili kukuza uchumi tz na maisha ya watanzania yawe mazuri?Jamani hali ya maisha imekuwa ngumu!wanauchumi naomba majibu.
 
Mubadilishe mawazo kutoka CDM vs CCM mpaka kuwaza uzalishaji
 
Hali ya uchumi inazidi kuwa
mbaya kila siku ,nini kifanyike ili kukuza uchumi tz na maisha ya
watanzania yawe mazuri?Jamani hali ya maisha imekuwa ngumu!wanauchumi
naomba majibu.

Kitu cha kwanza na cha msingi ni KUITOA CCM MADARAKANI. Alafu ndio tuanze kupanga hiyo miradi ya maendeleo ya kukuza uchumi. vinginevyo hakuna la maana lolote tunaloweza au linaloweza kufanyika chini ya ccm administration...
 
kwanza mabadiliko yaanze katika fikra za watanzania wenyewe na sio kutegemea sana vyama vya siasa vituletee maendeleo wale ni wawakilishi tu. Nguvu kubwa iko kwetu sisi wenyewe kwasababu wale hawapai na mabawa mpaka kufikia kuwa viongozi wa nchi, ni sisi ndo tunawachagua na wanatoka katika familia zetu. Kukuza uchumi wa taifa inabidi ianzie katika ngazi ya familia ingawa kuna vikwazo kutoka katika serikali iliyoko madarakani hayo yanatokana na maamuzi tuliyofanya hapo awali.
 
government has a role of coordinating development especial at early stage development, the problem of our government is just coordinating development through piece of papers remember 5Y DEV PLAN,MKUKUTA etc, and not on the ground. managing to provide sufficient energy to investors would be a big score, amazingly ten years now we are still using what they call emergence electricity(IPTL, DOWANS).
 
Making sure that Politics are stable, then lets discuss economics of the nation!
 
tungeanza kwa kukataa misaada ya nje na kutumia income ya rasilimali zetu wenyewe. mali tunazo na nguvu tunazo what else?? elimu??? hiyo pia ipo: Ari?? utata
 
What i think is personal effort as the only way to become financially fat.However,i advice those who think that the country will do something worthwhile for anyone or politicians will make it,should stop from dreaming and start living.This country needs people who will sucrifice their life and involving in teaching others how to get out of the tense situation.How to get into it?First,discover who you are?and what you need to fulfill in life?by doing this you will find that you are in great and important moments in life:"the day you was born"(existence) and "the day you discover why you was born"(purpose)Second,being successful in life is not determined by the amount of money you have,that is a bank account,a car,or a home to live,rather is determined by living good life which helps other people to become successful too.Lastly,i would like to encourage those who think life is too tough for them to touch the sky,it is nit like that since you have a unique talent(s) in you and if you die so hard without enriching, it better to know that we will all suffer because of what you could not fulfill in this world.So my people,no matter what is happening in the earth,we still have to do something for our lives. Do not agree to remain poor expecting the Government will do for us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…