Nini kifanyike ili kuondoa au kupunguza Chuki binafsi Mahali pa Kazi?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Inaelezwa kuwa mahali pa kazi Chuki imechukua nafasi kubwa kuliko uwajibikaji wenyewe.

Hali hiyo imeleta msongo wa mawazo kwa baadhi ya watumishi.

Pili inadunisha ufanisi wa kazi.

Tatu watu wanashindwa kufurahia kazi zao kutokana na watu wachache tu wabinafsi.

Nne watu wengine wananyimwa fursa kisa tu chuki.

Punguzeni Chuki, maendeleo yapatikane.
 
Piga kazi,
Fanya mambo yako.
Go home
 
Ajira mpya wapewe semina elekezi. Ni namna gani ya kuhimili presha na chuki mahali pa kazi. Penye riziki ndiyo kuna maneno.

Bahati mbaya si wote wana uvumilivu na moyo wa kupuuzia.

Kuna watu wanaumia sana kwa maneno ya watu. Uwezo wao wa kuhimili ni mdogo. Zipo ofisi zina maneno na umbea. Haswa hizi LG.

Watu wawajibike. Kila mmoja afanye kilichompeleka. Majungu yasipewe nafasi. Uchawa usiwe kichocheo cha kupata safari na kupandishwa vyeo.
 
Huko kila mtu hana raha
 
Inaelezwa kuwa mahali pa kazi Chuki imechukua nafasi kubwa kuliko uwajibikaji wenyewe.
Hali hiyo imeleta msongo wa mawazo kwa baadhi ya watumishi.
Pili inadunisha ufanisi wa kazi.
Tatu watu wanashindwa kufurahia kazi zao kutokana na watu wachache tu wabinafsi.
Nne watu wengine wananyimwa fursa kisa tu chuki.
Punguzeni Chuki, maendeleo yapatikane.
Pole sana mkuu
 
Inatisha sana
Watu/ Wafanyakazi wenye elimu/akili ndogo na iliyo duni, silaha yao pekee mahali pa kazi kuhusu 'tenure' ya ajira zao, kupandishwa vyeo au kupata upendeleo usio wa haki hutegemea zaidi kwenye kujipendekeza kwa maboss, kupeleka majungu na habari za umbea kwa boss, au hata kuanzisha mahusiano na boss ili aweze kuwa karibu naye.
 
Kuna njia hii nakupa unapokuwa eneo la kazi usiwaoneshe au usimuoneshe MTU yeyote kuwa unamzidi akili.

Usianzishe mahusiano ya kimapenzi eneo la kazi .

Kuwa positive usimchukie MTU yeyote either kwa kuambiwa au kwa kuona.

Usijihusishe katika mambo ya watu mainly social event Kama harusi ,party club night out n.k.

Kuwa na image inayokufanya ufikike Ila usizoeleke .

Mfano onekana Kama MTU msafi God fearing person n.k.

Saidia workmate ktk mambo muhimu Ugonjwa , msiba na mawazo chanya.

Live like a commoner -ishi Kama MTU wa kawaida .

Play low key but appear as high profile people.

Chuki ni zao la kuonesha kuwa unagawa taarifa zako kwa watu just hide ur information.

Ego kill ur Ego at any price
 
Inaelezwa kuwa mahali pa kazi Chuki imechukua nafasi kubwa kuliko uwajibikaji wenyewe.
Hali hiyo imeleta msongo wa mawazo kwa baadhi ya watumishi.
Pili inadunisha ufanisi wa kazi.
Tatu watu wanashindwa kufurahia kazi zao kutokana na watu wachache tu wabinafsi.
Nne watu wengine wananyimwa fursa kisa tu chuki.
Punguzeni Chuki, maendeleo yapatikane.
KUNA UDINI NA UKABILA HUSUSAN UISLAMU NI TATIZO MTAMBUKAA.
 
Back
Top Bottom