Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kuna dogo mmoja kwenye shirika flan hiv muda huu ni meneje mkuu (GM), alipokujaga tu akaanza kuleta maneno maneno. Anataka mpaka bosi wake ambae ni GM wa kipindi hiko afate standard zake yeye. Anamchomeshea kwa president kuwq hakuna kitu..
Wiki kadhaa mbele nilivyomuelewa nikawa namkataa. Few months nikaacha kazi ile ofisi, na haikupita miez miwili GM nae kaacha. Yule dogo ana CV ya kupita viofis vingi vingi na kukaa kwa kuda mfupi sana. Kumbe anatimuliwaga sababu ya ugombanishi
Kuja ofisi ile alikaa wiki tu chuki zikawq nganganga mule ndani. Kuna watu tukapambanuliwa kama wala mishahara na posho za bure. Hatufanyi kaz 😁