Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Chanzo halisi cha chuki kinatoka kwa wamiliki halali wa visirani vijichawi vile loo najuuta kuvifahamu.Inaelezwa kuwa mahali pa kazi Chuki imechukua nafasi kubwa kuliko uwajibikaji wenyewe.
Hali hiyo imeleta msongo wa mawazo kwa baadhi ya watumishi.
Pili inadunisha ufanisi wa kazi.
Tatu watu wanashindwa kufurahia kazi zao kutokana na watu wachache tu wabinafsi.
Nne watu wengine wananyimwa fursa kisa tu chuki.
Punguzeni Chuki, maendeleo yapatikane.
Mshahara laki tatu ila chuki ya laki tanoHiyo nyingi hivyo laki 3 wengjne ila chuki sasa