ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kwa tafiti yangu ndogo wananchi wanaitamani mabadiliko na wanaona tija ya maandamano ila wanahofia gharama zake kiuchumi na kuwaza kuwa nchi inaweza kuwekwa lockdown Kwa muda mrefu hivyo kuathiri Uzalishaji na upatikanaji wa riziki
Na hii ndiyo silaha ya mafisadi na wahuni, wanajua Watanganyika wa kawaida wanahofu ya kuwekwa lockdown na hivyo wako tayari kutokudai haki ili wapate riziki ya kila siku kulisha familia
Mimi natamani huu mziki yaani maandamano yawahusu watawala, bila kuathiri Uzalishaji na usalama wa raia
Hao mafisadi waachie n Tanganyika yetu Kwa amani
Tufanyeje ili D9 ivuke ikihakisha amani na Uzalishaji Kwa wananchi masikini ukiendelea
Shughuli zisisimame
Ili kila mtu ashibe na kama anaandama asiwe na njaa wala hofu.
Ili kila mtu aone tija ya D9
Naipenda mno Tanganyika
Tupate Tanganyika yetu bila kumwaga damu tena