Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.!
Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa kuendelea, mimi nilitaka niipe miaka 2 pekee.
Sasa ipo hivi, huu mradi ni wetu sote na unatusaidia zaidi sana tunatamani udumu miaka yote mpaka vitukuu waje wautumie na wa enjoy kwamba kuna raia wa Kale walithubutu mambo makubwa.
Kwa nini unaonekana sio sustainable?
1. Waajiriwa wengi wa serikali si waaminifu kabisaaa, wao wanawaza kupiga pesa Kwa kwenda mbele, mkurugenzi akiona maingizo bil. 4 ataenda akae abuni malipo ya hovyo walipane hizo pesa mpaka akaunti isome negative, rejea usafiri wa mabus ya mwendokasi na ndege. Ndege zitu zinaendeshwa Kwa hasara na mabus mengi yamepaki yanaozeana. Nasikia hata mfumo wa tiketi wameuchezea wanakusanyia bogoroni.!!
Rejea mashirika ya umma yote mfano TTCL ni hasara tupu.!!!
2. Huu usafiri ni delicate sana, unahitaji care na maintaince muda wote kitu ambacho serikali haiwezi kufanya biashara ya hivyo, mara nyingi mfumo wa serikali unataka kuona pesa inaingia tu na si kutoka na kama itatoka basi lazima ipigwe sana, kitu cha kutengeneza laki 2 kitatengenezwa Kwa bil. 2. Rejea mifumo ya manunuzi na matengenezo serikalin.
Mapema kabisa zimeanza delay za kuanza safari na kufupisha ruti, nasikia ngedere wanatupiwa lawama zote.!
3. Vita/fitina dhidi ya wafanya biashara wa mabus.
Juzi nilikua Dodoma, ikaingia bus ya Shabiby, wale ma agent nikakuta wanaongea " ona bus ipo empty kabisa, yaani hii tren inatulaza njaa" mi nilikua nawasikiliza tu pembeni.
Fikiria, tren at once inabeba abiria 700+ ambao ilikua wawe wamepanda mabus zaidi ya 14.
Hawa wafanyabiashara wanaweza wakaongea na wasimamizi wa tren wafanye sabotage ili tren ikwame abiria wakajaze mabus yao.
Kama kipindi cha Magu waliweza kufungulia maji ili umeme usipatikane makampuni yauze jenereta, solar na tununue umeme nje watashindwa nini kwenye tren.???
Nini kifanyike!?
1. Atafutwe muwekezaji, serikali iingie mikataba mifupi mifupi labda miaka 2 then ana renew au anashindanishwa na wawekezaji wengine.
Maadam pirot ya makusanyo ipo ni rahisi kuingia mkataba profitable.
2. Kama itabaki kusimamiwa na serikali basi apatikane msimamizi top ambaye ni mwaminifu na anahofu ya Mungu, mfano prof Assad yule mzee wa CAG ila aongeze ukali Kwa atakao kuwa anawasimamia vinginevyo mradi utakua shamba la bibi.!
Ushauri namba 2 ni dhaifu.!
"Serikali haiwezi kufanya biashara, itapigwa na itafeli tuu"