Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Salam kwenu madokta, samahani naomba mnifahamishe maana nimetumia lotion nyingi lakin hazina msaada kwake bado viganja vyake ni vigumu kama unyayo wa askari wa wanyama pori.
Havileti stimu kabisa yani
Nawasilisha.
Kama huna la kujibu acha kucomment mbona wawa sii Mstaarabu bwana. Sii wote wapitao humu ni Wahuni...Jirekebishe Mjomba.
Kabla ya kulala chukua maji ya uvuguvugu.
Kamulia limau halafu ganda litupie humohumo.
Loweka mikono yako kwa dk 15
Ukitoa paka mafuta ya nazi au Vaseline au ya mzeituni(extra virgin olive oil) kila siku.
Halafu chagua sabuni zisizo na kemikali kali