Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Salam kwenu madokta, samahani naomba mnifahamishe maana nimetumia lotion nyingi lakin hazina msaada kwake bado viganja vyake ni vigumu kama unyayo wa askari wa wanyama pori.
Havileti stimu kabisa yani
Nawasilisha.
acha kupiga punyeto sugu zitaisha mkononi.