Nini kifanyike kuboresha soka letu? Tujadili

Nini kifanyike kuboresha soka letu? Tujadili

kipaboy

Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
83
Reaction score
88
Njooni tujadili mpira wa bongo. Je siasa ni chanzo cha soka letu kudidimia au mbwembwe za vilabu vyetu kufanya vitu hewa kama usajili hewa, mipango ya maendeleo hewa (viwanja, uwekezaji) nini kifanyike kuondoa hizi drama. Lets consider our next generation what a legacy will we leave for them.

Pia nini kifanyike kufanya clubs zetu kuwa competent katika michuano ya nje (kimataifa) tuache porojo jamani soccer ni uwanjani (on the pitch) sio kwenye makaratasi
 
ukiondoa simba na yanga, hii ni timu ambayo ipo top 3 ya timu zenye migogoro ya wao kwa wao, ina makanjanja wengi mno, ivi mnamjua Abuu majeki nyie kwa nongwa, Ramadhani mahan o? mzee Mvela, Hawa kwa migogoro hata stand united wakasome, niambieni ktk ligi daraja la kwanza ni mechi ngapi walishinda bila nguvu ya refa na askar, timu zilizocheza na lipuli hasa pale iringa zilipata shida na kupigwa vibaya mno na askari mfano ni mshikamano FC walikiona cha moto! ila all in all nawapongeza kwa kufanya usajili WA maana unawasaidia, lkn kwa migogoro yao wajitathimni
 
Kwanza tusiwape sifa wachezaji wetu ambazo hawana. tujifunze kuwaambia ukweli wakivurunda sio kila siku tunajificha kwny kivuli cha makocha wakati wachezaji wetu ndyo wanazingua halaf ifikie kipindi serikali itie mkono serious kwny uwekezaji Wa michezo na sio kuleta porojo km tunazoshuhudia sa iv kwa mwakyembe kwa kifupi wanapaswa kujenga miundo mbinu mingi kila mkoa na sio kusubiri kukabidhi bendera kwani hakuna nchi yoyote iliyopiga hatua kimchezo bila mkono Wa serikali tukija upande Wa tff wanapaswa kuwa na program makini za vijana hii iendane na kuzalisha makocha wenye ujuzi Wa kutosha na mwisho tuwafundishe wachezaji wetu kujitambua so far wachezaji wetu karibia asilimia 90 hawajitambui yaliyotokea kwny chalenji ni matokeo ya kutojitambua
 
Kukua kwa soka kunahitaji sana focus, hii inajengwa na academy ambapo discipline itakuwa ni kipaumbele. Ktk hilo LA discipline kuna mambo mengi sana kama kuwajenga vijana ktk Milo lukuki, positive on and off pitch behaviours, wanahitaji psychologists waliobobea. Hivi vitu hupuuzwa sana hapa tz ila ni muhimu sana sana ktk kumjenga a talented young person. Serikali ianze na a proper academy of sports mithili ya UDOM, then we can move on. Youngsters watakuwa wananolewa ktk ktk umri mdogo sana kabla ya kuingia ktk club levels, if possible serikali ianzishe a proper football team ambayo itashiriki premier football na ambayo recruits wake wote ni zao la hiyo academy.
 
Back
Top Bottom