kipaboy
Member
- Jul 30, 2017
- 83
- 88
Njooni tujadili mpira wa bongo. Je siasa ni chanzo cha soka letu kudidimia au mbwembwe za vilabu vyetu kufanya vitu hewa kama usajili hewa, mipango ya maendeleo hewa (viwanja, uwekezaji) nini kifanyike kuondoa hizi drama. Lets consider our next generation what a legacy will we leave for them.
Pia nini kifanyike kufanya clubs zetu kuwa competent katika michuano ya nje (kimataifa) tuache porojo jamani soccer ni uwanjani (on the pitch) sio kwenye makaratasi
Pia nini kifanyike kufanya clubs zetu kuwa competent katika michuano ya nje (kimataifa) tuache porojo jamani soccer ni uwanjani (on the pitch) sio kwenye makaratasi