ukiondoa simba na yanga, hii ni timu ambayo ipo top 3 ya timu zenye migogoro ya wao kwa wao, ina makanjanja wengi mno, ivi mnamjua Abuu majeki nyie kwa nongwa, Ramadhani mahan o? mzee Mvela, Hawa kwa migogoro hata stand united wakasome, niambieni ktk ligi daraja la kwanza ni mechi ngapi walishinda bila nguvu ya refa na askar, timu zilizocheza na lipuli hasa pale iringa zilipata shida na kupigwa vibaya mno na askari mfano ni mshikamano FC walikiona cha moto! ila all in all nawapongeza kwa kufanya usajili WA maana unawasaidia, lkn kwa migogoro yao wajitathimni