Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Thank youBado hujaelewa, kwanini mnalalamikia January wakati mnajua December mzunguko unakuwa mkubwa sana?,jibu ni kwamba watu wanakuwa wametumia ela December na January hawana kitu. Hilo ndo jibu. Sasa kwanini utumie nje ya uwezo?, Umewahi kusikia nchi yoyote ya ulaya wanalalamikia January hakuna ela?,au ni nyie shitholes countries mnaoishi na kutumia pesa bila mahesabu!?.., NB:, Mimi sio mbaguzi ila naongelea uhalisia bila kujali kama utakuudhi.