Nini Kifanyike kuepukana na mdororo wa uchumi ambao hutokea mwezi january?

Thank you
 
Matumizi yasiyo Lazima yangepunguzwa kuanzia September, unaingia January kifua mbele.
Habari ya kusave kwenye hii nchi ya uchumi wa kati wa chini na mfumuko wa bei ulivyo siyo practical. Ni bora ili kuokoa mdororo unaotokea january, basi mdororo usambazwe kwa mwaka mzima kwa fungu fulani kutoka january
 
Nakazia,
 
January huwa ngumu si kwa sababu ya matumizi ya disemba, ni sababu ya majukumu ya mwezi huo. Ada, kodi mbalimbali, bei ya chakula kuwa juu na investments kwenye kilimo. Umewahi sikia juu ya stimulus packages zinazotolewa na serikali za Ulaya na Marekani? umesikia welfare programs zao? unafikiri serikali hizo hazijui kuwa watu wanatakiwa kuwajibika na uchumi wao? Again, acha kuhusisha hizi habari na rangi, ni ushamba mkubwa.
 
Kwa kipato hiki cha uchumi wa kati wa chini na mfumuko wa bei kusave ni ngumu sana.
Vitega uchumi vingi unavyooana mitaani na vijijini vyote ni vya watu wa kipato cha juu na kati? Kifogo wanapata wanaeekeza

Kuna baadhi ya wafanyakazi serikalini hopeless kabisa hasa kwenye ukopaji.Wazuri sana kukopa kwa ajili ya starehe na maisha ya kistarehe sio kwenye uwekezaji hata uwe mdogo hawawezi .
 
Nilikuwa sijaelewa kumbe ndo umeanzisha huu Uzi baada ya kwenda ATM ukakuta inasoma ZERO. Watu wenye mpangilio wa budget huwezi kusikia wanapiga hizi kelele. Usiseme tunakufa Kwa njaa sema nakufaa na usipende kuhusisha jamii nzima kwenye yanayokusibu, Kwa wengine January ndo mwezi wa kupiga ela. Wengine December, na wengine mwaka mzima fresh. Acha kulalamika lalamika mtandaoni mtoto wa kiume. January haina tatizo wewe ndo tatizo
 
jibu hoja, umewahi sikia kuhusu stimulus packages zinazotolewa na serikali za Ulaya? unafahamu kuwa hao wazungu unaowahusudu wanategemea serikali kupitia welfare programs mbalimbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…