Nini kifanyike kufufua Tanzania International Petroleum Refinery (Tiper)?

Nini kifanyike kufufua Tanzania International Petroleum Refinery (Tiper)?

Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla.

TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na kusimikwa pamoja na storage terminals Za kutosha pale Kigamboni.

Tumebinafsisha..Serikali imebakiwa na nadhani 30%..Nini kinafanyika?Nini kifayike?
Haikuwa Tanzania I nter..... Ilikuwa Tanzania -Italy Petroleum Refinery.
 
Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla.

TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na kusimikwa pamoja na storage terminals Za kutosha pale Kigamboni.

Tumebinafsisha..Serikali imebakiwa na nadhani 30%..Nini kinafanyika?Nini kifayike?
TIPER=TANZANIA ITALIA PETROL REFINERY
 
Mh. Mwanamichakato, sijui nikuite ni mzalendo, ama umekuwa na mawazo ya kizalendo.

Ni kweli tukiwa na petroleum refinery industry yetu, hakika tutapunguza sehumu kubwa sana ya gharama za uagizaji wa petroli, dizeli, oil pamoja na bidhaa mbali mbali zitokanazo na usafishaji wa crude oil petroleum.

Hebu tujiulize hasa sisi wa gen. wa miaka ya 50s, 60s, ni kwa nini TIPER iliuliwa?

Wengine wanasema ati ni sababu TIPER wakati inajengwa, idadi ya WaTanzania ilikuwa na ndogo, wengine wakasema ati technology ilishapitwa na wakati.
Hizo zote zilikuwa ni sababu za kuhalalisha upigaji tu.

Tunapo waambia nchi hii, TANZANIA upigaji ulianza zamani na sasa imekuwa kansa sugu, huwa hamuelewi.

Ni jambo jema sasa kuianzisha TIPER mpya sasa tukilenga na usafishaji wa mafuta (crude oil petroleum toka Uganda kwa Bomba linalojengwa sasa, ni kweli tutapunguza ama tutashusha bei za bidhaa za petroleum.

Je, viongozi wetu waliona hili? Wanayo mawazo haya ya kizalendo? Je, nao wanamawazo hayo hayo ya kipigaji?

Ndugu Mwanamichakato, nakuomba fanya re-search kidogo tu juu ya mampuni yenye kibali cha kuagiza bidhaa za petroleum toka nje, je, hakuna mikono mingi ya viongozi wetu wengi kwenye makampuni hayo?

Mwl. Nyerere (RIP) alisema, mtu akila nyama ya mtu hawezi kuacha. Je, na hawa viongozi wetu walishakula nyama ya mtu, ni kweli watakumbuka wazo hili la kujenga TIPER nyingine?

Siku hizi wao wanaita kulamba ASALI, je wataacha? Siku hizi kuna wazo la kusema tunawakaribisha wawekezaji, (wakoloni mamboleo) , je, hata hilo wazo wanalo?

Huenda tutapata ukinzani mkubwa toka nje, hasa wale watuuziao bidhaa za petroleum, hivi ni kweli?

Kama sivyo, ama ndivyo, tutawasaidiaje hawa viongozi wetu?
Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla.

TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na kusimikwa pamoja na storage terminals Za kutosha pale Kigamboni.

Tumebinafsisha..Serikali imebakiwa na nadhani 30%..Nini kinafanyika?Nini kifayike?
Hii ndio vita kubwa ambayo mzungu hataki uifikie hasa nchi za Africa ukitaka uwekewe mpk vikwazo anzisha viwanda vyakuua biashara zao,wasipotumika watu wa ndani kwa kuwapa pesa ndefu iliwakiue then watakupiga kiuchumi,in nutshell they want African to suffer iliwao wapate hela.
 
Tlaatlaa na mwashambwa hutowaona wakichangia hoja wala kuanzisha thread za maana kama hizi wao wanasubiri mtu fulani atoke msalani waanze kumsifia kwamba hajatoka kukata gogo na kusifia ulozi wa CCM
 
Back
Top Bottom