Nini kifanyike kuharakisha uokoaji Kariakoo

Nini kifanyike kuharakisha uokoaji Kariakoo

Dead load ni kubwa sana kwenye jengo.
Hapo kuna dead load ya almost tani 150, hiyo deadload inatoka tu bila hata kutindua. Baada ya kutoa deadload ndio uunatumia jack hammer kutindua, hakuna kitachotitia.
unapotoa dead load chance ya another collapse ipoje?control yake ipoje?
Nakubali sana unavyochangia mada hii kwa weledi!
 
unapotoa dead load chance ya another collapse ipoje?control yake ipoje?
Nakubali sana unavyochangia mada hii kwa weledi!
Unapotoa dead load, chance za collapse zinapungua sana, sasa hivi nguzo zote ukiangalia kwenye picha zipo weak, huwezi tindua chochote kwa mzigo uliopo.
Picha za zamani za jengo zinaonyesha floor ya juu kabisa iliyoezekwa na bati haikuwepo zamani, hivyo haina attachmemt yoyote na jengo, hiyo yote ni dead load, ndio chanzo cha jengo kutitia na kuleta madhara zaidi.

Mfano mdogo tu, kama juu kabisa waliongeza floor kwa tofali 5,000 na kila tofali lina kilo 20, hivyo huko juu kuna tani 100, hujaweka kench, bati na upuuzi mwingine.

Sasa ukitoa dead load yote kwenye jengo, uokozi unakuwa rahisi.
 
Jambo la kushangaza eti traffic wapo barabarani wanakusanya hela za kubrashia badala ya hawa wote wangepelekwa kwenye uokozi

Yangekuwa maandamano ya cdm usingewaona barabarani wote wangepelekwa kukabiliana na waandamanaji na wengine wangetolewa hadi mikoani ila uhai wa watu hakuna anayejali
Jambo ambalo halihatarishi madaraka ya CCM huwa kuna protocol nyingi na kujivuta vuta sana.😂
 
Back
Top Bottom