Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
unapotoa dead load chance ya another collapse ipoje?control yake ipoje?Dead load ni kubwa sana kwenye jengo.
Hapo kuna dead load ya almost tani 150, hiyo deadload inatoka tu bila hata kutindua. Baada ya kutoa deadload ndio uunatumia jack hammer kutindua, hakuna kitachotitia.
Unapotoa dead load, chance za collapse zinapungua sana, sasa hivi nguzo zote ukiangalia kwenye picha zipo weak, huwezi tindua chochote kwa mzigo uliopo.unapotoa dead load chance ya another collapse ipoje?control yake ipoje?
Nakubali sana unavyochangia mada hii kwa weledi!
Jambo ambalo halihatarishi madaraka ya CCM huwa kuna protocol nyingi na kujivuta vuta sana.😂Jambo la kushangaza eti traffic wapo barabarani wanakusanya hela za kubrashia badala ya hawa wote wangepelekwa kwenye uokozi
Yangekuwa maandamano ya cdm usingewaona barabarani wote wangepelekwa kukabiliana na waandamanaji na wengine wangetolewa hadi mikoani ila uhai wa watu hakuna anayejali