Nini kifanyike kukomesha utekaji

Nini kifanyike kukomesha utekaji

Wakuu hii nchi inakwenda vibaya sana na naona watawala wanachukulia swala la utekaji kama drama na wamebariki watu watekwe na kisha wauwae
Mwaka huu matendo ya utekaji yamekuwa mengi sna kila mmoja wetu analitambua hilo

Walio tekwa ni jamaa zetu marafiki zetu

Sasa Leo tuje na mbinu gani itumike ili kukomesha mambo haya ya kipuuzi na njia ipi pia itumike kupambna na watekaji
Kwa vile serekali imeshindwa kutulinda na kuwa dhibiti watekaji
Ccm waachie ngazi
 
Kinachofsnyika saiv aananchi kujilinda dhidi ya kiashiria chochote cha utekaji kinatosha, labda tu nguvu na hamasa iongezwe
 
Back
Top Bottom