Nini kifanyike kumaliza tatizo la mimba za utotoni?

Nini kifanyike kumaliza tatizo la mimba za utotoni?

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Great thinkers,

Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
 
Unyago kwa watoto yale wanayofundishwa unyagoni wanatafuta sehemu ya kupractise.
Mabweni kwa wanafunzi wa kike pia ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom