Nini kifanyike kumsaidia Nikki Mbishi?

Nini kifanyike kumsaidia Nikki Mbishi?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kijana Niki Mbishi anayejiusisha na shughuli za kurap amekuwa sio mtu mwenye muenendo mzuri.

Amejaa jazba, malalamiko, shari, migogoro, umbeya na upotevu wa nuru.

Watu wanasema ni sababu ya shughuli zake za kurap hazijawai kumletea manufaa ya kuweza kujikimu kimaisha hivyo amejaa msongo wa mawazo na kujikatia tamaa.

Wengine wanasema sababu ni matumizi makubwa ya vilevi vya kupima hivyo vinasababisha anapoteza uwezo wa kutafakari na kutafuta pesa inayopelekea kuwa mtu wa hovyo.

Una nini cha kumshauri kijana huyu wa kikurya anaeigiza umarekani?

Mimi namshauri atafute shughuli nyingine ya kufanya hiki anachofanya sasa atakufa maskini.

Akiwa kama baba wa familia anatakiwa sasa ajitambue aache wivu na majungu hazijawai msaidia ila apambane. Watu walimpa nafasi wakaishi kupata hasara sasa asilazimishe kupewa nafasi hakuna mtu anaweka pesa yake ili afurahishe masela.

Hakuna anaemkwamisha kwenye hii safari yake bali ni yeye mwenyewe hivyo asitafute mchawi kila siku.

Mwenye ushauri mwingine tumsaidie
 
Wewe unafanya shughuli Gani tuanzie apo kwanza?
 
Oi mwanangu njoo uangalie TV geto kwangu
 
Aimbe na atumie tungo kama za NAY, tutachanga, saizi operation iliyopo ni piga vita nyimbo za matusi na support nyimbo za revolution

Back
Top Bottom