MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Nini maana ya Sanaa sasa kama atashindwa kuwa yeye kama yeye, inawezekana umeanza kumsikiliza juzi ama ndio umemfahamu kupitia thread hii, Ningekushauri tu jaribu kununua kazi zake utakutana na hiyo message unayoitaka, album yake ya mwisho nimeinunua ni Katiba Mpya Ina nyimbo kama Watanganyika wadanganyika, Bara zuri, Nani aliyeturoga na Katiba mpya, zote hizo zina aina ya maudhui unayoyatakaAimbe na atumie tungo kama za NAY