Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Ila sio kigwangalaKufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
Unamfukuzaje bosi,,,,,mkitaka asepe mpeni pesa yakeKufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
Huu ndo ukweli. Mara nyingi unamuona Benchikha analalamika na kuonesha ishara ya kichwaTuna kocha ila wachezaji hatuna
Msemaji anacheza namba ngapi ?waanze na yule msemaji wao anaongea pumba sana
Mo hana shida,hela ya usajili anatoa wanasajiliwa wachezaji toka Tandika na Mwananyamala. Unaondoa Baleke na Phiri unaleta Jobe na Cobra hizo ni akili au makamasi tu? Mangungu na uongozi wote waondoke hakuna mtu wa mpira pale wote wapigaji tu.mo afukuzwe na nani?