Nini kifanyike kuokoa simba

Nini kifanyike kuokoa simba

Abeltrainer

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
245
Reaction score
473
Kufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
 
Bila kusoma content yako ya ndani hiyo title ilikuwa inaashiria jambo lingine

Ni as if unahitaji jitihada za dharura kuokoa Simba wanyama wasipotee/wasiuawe n.k

Siku nyingine ukitaka kui-address timu ya Simba Anza na "Klabu ya Simba ......"

Nguvu moja 💪
 
Tuache maneno mengi, na majungu. Tuwe na mifumo mizuri ya kimkakati, tuache sajili za kujionesha et mchezaji ghali wakati hana kiwango, tuachane na msemaji wetu mwongomwongo, benchika apewe kipaumbele kwenye scouting ijayo, mo share zake zipungue, tuache drama mitandaoni. Wazee kwenye timu watupishe wamefanya kazi nzuri hatuwadai,.... yapo mengi ila ya kuanzia ni hayo
 
Kufuatia kuwa na matokeo yasiyoridhisha hasa katika michezo ya muhimu na migumu, kama huu wa leo, nini kifanyike ili kuinusuru timu yetu pendwa simba sport club?
Kwa upande wangu
1.mo afukuzwe
2.waje wawekezaji wapya
3.uongozi wote tushinikize ujiuzulu, uchaguzi ufanyike upya
4. Mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa club, urudiwe upya kwani mo na genge lake waliuharibu
5. Tuwadhibu wachezaji kwa kuwa wazembe, mtu unaruka kichwa kama kindama kilichotoka nje, au kama kimbuzi kidogo
6wachezaji wazee wote tupa kule
Ila sio kigwangala
 
Unamfukuzaje bosi,,,,,mkitaka asepe mpeni pesa yake
 
mo afukuzwe na nani?
Mo hana shida,hela ya usajili anatoa wanasajiliwa wachezaji toka Tandika na Mwananyamala. Unaondoa Baleke na Phiri unaleta Jobe na Cobra hizo ni akili au makamasi tu? Mangungu na uongozi wote waondoke hakuna mtu wa mpira pale wote wapigaji tu.
 
Back
Top Bottom