Nini kifanyike kuokoa simba

Nani mwenye matokeo mazuri..ukiacha hiyo Simba? Hisia zangu zinakuwa kweli
 
Nchi nzima kimyaaaaaaaa. Pepe...pepe.....pepe...pepe.......fyuuuuuuuuu. Kwa hisani ya Manara😀😀😀
Ubuntu Botho!
 
:Hamumjui Mangungu ni nani pale na Amewekwa na nani.

:Hamjui kwanini Swedi Mkwabi alijiuzuru.

:Hamjui kwanini Akina Senzo walitolewa simba wakaondoka.

:Hamjui seke seke la Akina Haji

Hamjui hata kwanini sisi viagaa tulitolewa pale.
...Hamjui hata kwanini sisi vidagaa tulitolewa pale...
Pole sana sasa naanza kuelewa kwanini kwa muda mrefu umekuwa hasi na Simba...
 
Kwa nini hamumsemi babacar sarr?
Huyu ni mchezaji wa kawaida sana lakini ndio hivyo yupo sana simba
Huyo siyo mzuri sana kuna wakati anakupa kitu unaona anaweza lakini hizo pimbi mbili hizo hamna kitu hasa huyo Fred ndiyo lumpeni kabisa. Dirisha kubwa hili hii mizigo yote iondolewe tunahitaji striker anayelijua goli liko wapi. Hakuna haja ya kuwa na wa wachezaji 12 wa kigeni ambao wanazidiwa viwango na wazawa. Mo avunje benki tupate wachezaji wanaoweza kutuvusha hapa tulipokwamia kwa miaka mitano hii. Wampe kocha mahitaji ya wachezaji anaowahitaji .
 
Sasa tytakuwaje nayo mkuu, hawa akina mo, try again, na akina mangungu ndio wanaoturudisha nyuma
 
Mo hana shida,hela ya usajili anatoa wanasajiliwa wachezaji toka Tandika na Mwananyamala. Unaondoa Baleke na Phiri unaleta Jobe na Cobra hizo ni akili au makamasi tu? Mangungu na uongozi wote waondoke hakuna mtu wa mpira pale wote wapigaji tu.
Mo hatoi hela, ni bahili, simba tuna poor scouting, manzoki aliletwa kwenye mkutani mpaka leo hatujawahi kumuona,ukiangalia wachezani walioondoka na walioletwa ni mvingu na ardhi
 
UONGOZ FUKUZA KULE.MO SHARE IPUNGUZWE HADI 20.WACHEZAJI WAZEE WAONDOLEWE
Umenena vyema mkuu, na pia zabuni zitangazwe watu waombe, waje hata waarabu wa dubai waichukue timu tiachane na hawa makanjibai mabahili sana
Yaani tajiri mzima unaenda kuwapa wachezaji zawadi ya pikipiki ya boxer,https://jamii.app/JFUserGuide you kanjibai
Yaani hata uwekezajj wake simba haueleweki,mtu alisema anaenda kununua bond za 20billion halafu ile faida inayopatikana ndio iendeshe timu, uwekezaji gani huo wa kijinga
 
Aisee afadhali na wewe umeliona hilo, mimi kila siku huwa nasema tatizo number moja la simba ni mo na metl
Siku aomba tukiwaweka hawa watu pembebi basi tutafanikiwa
 
Mo hatoi hela, ni bahili, simba tuna poor scouting, manzoki aliletwa kwenye mkutani mpaka leo hatujawahi kumuona,ukiangalia wachezani walioondoka na walioletwa ni mvingu na ardhi
Ndiyo upuuzi wa uongozi kuleta Manzoki kuombea kura ule ulikuwa upuuzi na hata wanachama wenzetu wa Dar waliomchagua Mangungu kwa gia hiyo ya Manzoki hawakututendea haki. Mo hela anatoa akiletewa wachezaji wazuri Ndiyo maana alimsajili Ayub kwa bei kubwa. Mtu wa scouting ndiye anatuangusha,atafutwe mtu mwenye ulewa mzuri siyo huyu anatuletea malonyalonya. Na tukifeli dirisha kubwa hili hata NBC next season tutapata tabu sana.
 
Haupo sawa kichwani! Yaani zawadi ya boxer pikipiki haifai?! Wewe uliwahi kumpa mtu zawadi yeyote? Harafu usiandike vitu ki mihemko, unaonekana ulivyo mjinga unatia aibu ukoo wako
 
Haupo sawa kichwani! Yaani zawadi ya boxer pikipiki haifai?! Wewe uliwahi kumpa mtu zawadi yeyote? Harafu usiandike vitu ki mihemko, unaonekana ulivyo mjinga unatia aibu ukoo wako
Acha usenge wewe, yaani unaenda kuwazawadia wachezaji pikipiki ya boxer ili upromote bidhaa yako, pikipiki kabisa, hio ni dharau kubwa sana kwa timu yetu
Heri angewapa hela lakini sio boxer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…